Baada ya maboresho ya Mpesa umeme haununuliki

CORAL

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
2,809
1,808
Nimejaribu kununua umeme wa LUKU kupitia Mpesa leo toka asubuhi lakini napata error message hii:
" The bill number does not meet the third-party authentication rules."
Nimejaribu kupiga customer care naambiwa "network busy"
Yaani hapa nalala giza nina hasira kweli.
 
Leo kila kitu kimekataa hata ukituma pesa kwenda bank imekataa pia nimejaribu luku imekataa sijajua hayo maboresho ni yapi ni shinda mtindo mmoja.
 
Back
Top Bottom