Kampuni ya Buffer na utamaduni wao wa uwazi

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,630
2,458
Kampuni ya Buffer inayotengeneza tovuti na Apps zinazosaidia watu kumanage social media ina utamaduni wa uwazi/transparency kiasi kwamba mishahara ya wafanyakazi wote wanabandika mtandaoni.

Unaweza kuiona hapa
Buffer New Salary Formula

Hii unaonaje? Ungekubali mshahara wako kuwekwa mtandaoni namna hii?
 
Natumia platform yao kumanage social media campaigns. Mbali na hapo hawa jamaa, they know what engagement means. They share their marketing strategies, tactics, returns, et.c. Kitu ambacho na Hubspot nao washaanza kufanya.
Vilevile ktka content marketing, they don't market their products&services, instead wanakuwa wanalenga kuwasaidia start-up and other business to grow and win in digital space. Kitu ambacho, makampuni mengi hawakifanyi.
I love these guys!!
 
Back
Top Bottom