JayJay11 Senior Member Dec 9, 2015 136 139 Jun 19, 2016 #1 Habari zenu... Nina simu aina ya Samsung S3 na nimesikia inawezekana kuiupdate Android version yake kwenda kweny lollipop Kwa sasa version yake ni Jelly Bean.... Naomba msaada jinsi ya kuiupdate ili iwe lollipop tafadhali Natanguliza Shukrani...
Habari zenu... Nina simu aina ya Samsung S3 na nimesikia inawezekana kuiupdate Android version yake kwenda kweny lollipop Kwa sasa version yake ni Jelly Bean.... Naomba msaada jinsi ya kuiupdate ili iwe lollipop tafadhali Natanguliza Shukrani...
MiniActivist Member Dec 9, 2011 66 44 Jun 19, 2016 #2 Andika model namba yake hapa niangalie kama update yake ipo.
JayJay11 Senior Member Dec 9, 2015 136 139 Jun 19, 2016 Thread starter #3 MiniActivist said: Andika model namba yake hapa niangalie kama update yake ipo. Click to expand... Model number:- GT-I9300 Ni hiyo mkuu
MiniActivist said: Andika model namba yake hapa niangalie kama update yake ipo. Click to expand... Model number:- GT-I9300 Ni hiyo mkuu
Bobbyray JF-Expert Member Dec 3, 2015 1,366 1,750 Jun 19, 2016 #5 S3 update yake mwisho jelly bean na zipo nyingine zinafika kitkat zaidi ya hapo ukiforce itakuwa slow na kuchemka mara kwa mara
S3 update yake mwisho jelly bean na zipo nyingine zinafika kitkat zaidi ya hapo ukiforce itakuwa slow na kuchemka mara kwa mara
JayJay11 Senior Member Dec 9, 2015 136 139 Jun 19, 2016 Thread starter #6 Bobbyray said: S3 update yake mwisho jelly bean na zipo nyingine zinafika kitkat zaidi ya hapo ukiforce itakuwa slow na kuchemka mara kwa mara Click to expand... Yani hapa nlipo iko slow mnoo Na wala haina apps nyingi Sijui ni nini tatizo
Bobbyray said: S3 update yake mwisho jelly bean na zipo nyingine zinafika kitkat zaidi ya hapo ukiforce itakuwa slow na kuchemka mara kwa mara Click to expand... Yani hapa nlipo iko slow mnoo Na wala haina apps nyingi Sijui ni nini tatizo