Msaada kuhusu line hii ya halotel

Msaada kuhusu line hii ya halotel

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,620
Reaction score
5,249
Ndugu wana jamii naomba msaada kuhusu hili.
Nimesajili laini mpya ya halotel ya wanachuo na nikajiunga kifurushi cha mb 600 cha wiki ila tatizo ni moja tu kua licha ya kua nimefanya configuration setting vizuri lakini kila ninapojaribu kuingia mtandaoni kupitia internet explorer inakua inafel na kuniambia kua setting haziko vizuri niangalia setting au nizime wifi ilhali vyote hivyo vimezimwa lakini nikiingia online kupitia operamini inafanya kazi vizuri tu lakini kwingine kote inagoma hata nikitaka kusearch kitu kupitia bing pia inagoma msaada wen plz aina ya simu ni lumia 535
 
Hapo kwenyeapn mkuu kunasomeka halotelinternet kisha username ni halotel tanzania
 
jaribu kutengeneza apn mpya name andika masanja apn andika b-internet halavu save then activate hio mpya
 
jaribu kutengeneza apn mpya name andika masanja apn andika b-internet halavu save then activate hio mpya
Nimefanya but majanga hata cjui ni nini kinachoendelea aisee kwani mi naona kila kitu kiko poa pengine labda unisaidie nifanyaje kuwaomba wanitumie configuration kisha niistalll mwenyewe
 
Nimefanya but majanga hata cjui ni nini kinachoendelea aisee kwani mi naona kila kitu kiko poa pengine labda unisaidie nifanyaje kuwaomba wanitumie configuration kisha niistalll mwenyewe

Tuma neno CONFIG kwenda 15503
 
Unakosea kwenye APN mkuu,nenda hapo then futa iliopo halafu andika mpya...Name:Halotel
APN :Internet
Halafu unasave,naamin itafanya kazi vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom