ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,663
Nina Ipad 1 ios version ni 5.1.1 lakini nikitaka kuinstall whatsapp kutoka kwenye store yao wanasema niwe na ios version 8.4 sasa nikiangilia current version ni 5.1.1 je kuna uwezo wa kuupdate kwenda ios version 8.4?