gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,305
- 3,327
Habari wakuu,
Mimi ni mzee mkoloni nisiependa kabisa hizi channel za burudani kwani zinapendwa zaidi na mke na watoto zaidi kuliko channel za habari.
Mimi sikatai wao kutizama lakini changamoto iliopo wanasahau kabisa kama kuna channel zenye kutoa habari kama ITV,TBC,StarvTV,BBC,aljazeera,CNN,CCTV etc.
Hizi channel za burudani zilizobaki nataka ikilazimu nizi block kwa muda ili walau waweza hata kutuzama habari.
Haiwezekani mtoto muda wote yeye na bongo flavour tu.
Naomba msaada kwa mwenye kufaham namna yaku block hii itasaidia kupunguza kutoa adhabu