Njia mbili za kufahamu nani kakublock kwenye instagram account!!

Techmania

New Member
Oct 11, 2015
3
20
Kunasababu nyingi za kutaka kujua nani amekublock kwenye account yake :mad: ? Whatever the reason kujua ni hatua chache moja wapo ni kuclick FOLLOW button kama amekublock hata ubonyeze follow mara 10 haitokubali ujue hapo yaweza kawa amezima account kwa maelezo zaidi..
========

To find out if you have been blocked on Instagram, follow the following steps:

STEP 1:
first open up the app. Then type in the person’s name who you think has blocked you. When you find the person you're looking for, enter his/her profile. You should be able to see it with no problem, but if you do not, chances are you have been blocked or they have deactivated their Instagram account.
If the person you suspect has blocked you has a public account, you'll be able to find this person's name in the search bar, but once you enter that person's profile, you will not be able to see his or her pictures even though the top bar indicates the person has pictures in their profile.

STEP 2:
On finding the person’s profile, try to “follow” them. If you’ve been blocked, you won’t be allowed to follow the person .No matter how many times you tap on the follow button, if will revert to the follow option. That’s it you were blocked
Source: Techtopocket
 

mzee wa nguna

Member
Dec 5, 2012
99
225
Kunasababu nyingi za kutaka kujua nani amekublock kwenye account yake :mad: ? Whatever the reason kujua ni hatua chache moja wapo ni kuclick FOLLOW button kama amekublock hata ubonyeze follow mara 10 haitokubali ujue hapo yaweza kawa amezima account kwa maelezo zaidi here
Ndio kusema ulikuwa hujajua hadi leo?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom