Msaada: Tofauti ya software na version

ab cd

Member
May 28, 2016
94
19
Wataalamu wa computer naombeni naomba kujua tofauti ya software na version na kaz zake! Na je znabadilishika?
 
software ni maelekezo yanayofanya kifaa chako kifanye kazi na version ni toleo la hayo maelekezo. huwezi kubadilisha mtunzi alieandika hayo maelekezo (developer) ndio mwenye uwezo wa kuyabadilisha. ukitaka kubadilisha unatakiwa uende sehemu ulipoyapata hayo maelekezo utapata toleo jipya. sehemu hio inaweza kuwa store au website ya hayo maelekezo.

mfano mzuri software ni kitabu na version ni toleo la kitabu, kitabu kimoja kinakuwa na matoleo tofauti tofauti na software pia huwa na matoleo tofauti tofauti. ili upate toleo jipya la kitabu itabidi uende dukani ukanunue kitabu kipya (hutaandika mwenyewe) hivyo hivyo upande wa software ili uibadilishe upate software mpya itabidi udownload/ufanye update toka store kama playstore au website mbali mbali ambazo wamehifadhi hio software
 
Eg my phone is j7 samsung galaxy kwa hali ya kawaida inaonyesha version yake kuwa 5.1.1 lkn nikkingia kwenye galaxy apps inaniambia hiv( latest version 4.1.1-10) so what napata tabu kidogo kuitambua hili. Msaaada plz wadau wa jf
 
Eg my phone is j7 samsung galaxy kwa hali ya kawaida inaonyesha version yake kuwa 5.1.1 lkn nikkingia kwenye galaxy apps inaniambia hiv( latest version 4.1.1-10) so what napata tabu kidogo kuitambua hili. Msaaada plz wadau wa jf

"Hali ya kawaida" ndo ipi?
Utakuwa unachangaya version ya vitu viwili tofauti Version ya Operating System Software ya simu yako ambayo ni Android 5.1.1 na version ya Galaxy Apps software ambayo ipo installed kwenye simu yako hivi vitu viwili vipo independent.
 
Ndugu kama umeshindwa kuelewa maelekezo ya Chief mkwawa basi ngoja nitumie njia hii labda utaelewa kidogo version ipo ndani ya software.
 
Back
Top Bottom