MSAADA

MSAADA

habdul64

Senior Member
Joined
Dec 24, 2014
Posts
153
Reaction score
67
habari zenu waungwana..naomba msaada kwa mwenye kuweza nisaidia screen ya aina ya laptop yangu..Ni HP PROBOOK 6570b. Nahitaji screen yake kwakua yakwangu imeharibika..naomba kama utaweza nisaidia unijulishe unapatikana wapi..mi nipo Dar.
 
Back
Top Bottom