Kuflash cmu ni kosa kisheria lakn nashangaa kwa nn baadh ya mafundi wameandika mabango "TUNAFLASH SIMU,KUTOA LOCK N.K" Je hawa mafundi hawajui kama kufanya hvyo ni kosa? Au mm ndo cjui nn maana ya...
Kuna mchezo unafanywa na makampuni ya simu wa kuwaibia watu! Simu yangu ilikuwa haipandishi mnara/inapoteza network. Nikaenda kampuni moja (siitaji kwa sasa).
Nikawaeleza tatizo wakasema hiyo...
Salaam wanajamvi,
Kuna dogo anatamani kusoma programming languages zitakazomwezesha kutegeneza programs zitakazoweza kutumika kwenye simu zinazotumia android na nyingenezo.
Elimu yake ni kidato...
Ni mara nyingi sana nyimbo yaweza kusikika iwe kwenye radio, club au daladala na ukaipenda sana ila hujui jina la msanii wala jina la wimbo huo na hua inakera sana,,
NJIA YANGU YA KWANZA...
Msaada wakuu, computer inazingua, haitaki kuwaka, inaniletea maandishi,
ATTEMPTING BOOT FRON CD- ROM
ATTEMPTING BOOT FROM HARD DRIVE
BOOTMRG IS MISSING
PRESS CTRL * ALT* DEL to restart...
Now alkoholism is not the number one cause of car accidents among youths. The number one cause of accidents and even deaths is the usage of phones while driving.
Car designer are required to...
Wakuu, naombeni msaada wenu wa kitaalamu. Nilinunua Photocopy Machine mpya Canon IR 2520, nimeweka Drum na Toner lakini kila nikijaribu kutoa copy inatoka Plain yaani bila maandishi. Naombeni...
Jamani wakuu, Naombeni msaada juu ya kusolve ilo tatizo litatokea pale ninapo piga picha kwa simu yangu.. Nikienda kufungua kwa gallery inaonyesha giza na huo ujumbe hapo juu.
Sasa hata picha...
Wakuu habari za mchana..
Ninatatizo kidogo na samsung note 2,,inapandisha G na iko slow sana kwenye internet,,ni vipi naweza kufix hili tatizo ili isome H+...
Kwenye network mode ipo kwenye WCDMA/GSM
Leo kipindi naangalia salio kwenye akaunti ya voda nikaona kuna ujumbe unaosema ....."pata hadi GB 80 kwa Tsh 200! tu piga *149*01# sasa" ukienda huko sioni chochote mwenye uelewa wa hili tafadhari.
Habari wataalam
SOry nina ipad 1, nimeapgrade hadi IOS 5.1 but now najaribu kuload app zinanataka IOS 7, nikijaribu kuapdate inasema version ya zamani haiwezi upgrade, mnanisaidiaje wataalam waa...
Apple iPhone 7 to reportedly retain the 3.5mm headphone jack and boast dual-SIM functionality.
“New leaked images suggest that the iPhone 7 will be the first from Apple to sport dual-SIM slots”...
Nimenunua aina hiyo ya photocopy ikiwa mpya mwaka jana tu, ila sasahivi ukiiwasha inalema message hii
UPDATE FIRMWARE
*BIOS MODE*
2010/10/28 VOL .01
Na haiwaki wala huwezi kufanya chochote...