Mwenye kuijua hii offa ya voda

Mwenye kuijua hii offa ya voda

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
8,526
Reaction score
8,033
Wakuu, leo wakati nachek salio nikakutana na hii..
Vip kuna yoyote aliewahi kuitumia au kujua unajiungaje
uploadfromtaptalk1466876658482.png
 
kwa lugha ya biashara nilivyoelewa kifurushi cha bei rahisi zaidi kinauzwa shilingi 200 (hawakutaja mb unazopata ukilipa 200) na kifurushi cha bei ghali unapata gb 80 (hawajasema gb 80 zinauzwa shilingi ngapi)
 
Nimesearch wala kwenye menu haipo,, sijui kiki au wanamanishaa nn
 
kwa lugha ya biashara nilivyoelewa kifurushi cha bei rahisi zaidi kinauzwa shilingi 200 (hawakutaja mb unazopata ukilipa 200) na kifurushi cha bei ghali unapata gb 80 (hawajasema gb 80 zinauzwa shilingi ngapi)
Inawezekana basi... Maana hata ukichek menyu nzima huez ona hii offa sasa
 
Ni sawa na ukiwa Ubungo halafu konda anakwambia Kimara Mbezi 500, Kibamba Msata Chalinze!
Usije fikiri hiyo 500 itakufikisha Chalinze, utaaibika.
 
Back
Top Bottom