Software Engineer
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 344
- 137
Nimesikia leo polisi wanafungua call center, hivi hii system iko vp?
Call center sio system ni sehemu tu pakupokea simu na kupiga ni kama kwenye voda tigo au airtel customer care mifumo inayo tumiwa ni ya kawaida 2 kwa ajiri ya kujaza taarifa na kusambaza ili wa arakishe kutoa huduma