CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
Kuna mchezo unafanywa na makampuni ya simu wa kuwaibia watu! Simu yangu ilikuwa haipandishi mnara/inapoteza network. Nikaenda kampuni moja (siitaji kwa sasa).
Nikawaeleza tatizo wakasema hiyo imefungiwa tumbukiza kwenye dust bin/pipa hapo tukupe Itel ya 22,000 Tsh. Nikakataa maana simu yangu ni genuine by all standards.
Nikaenda kwa mafundi wa simu wakaniambia hiyo inahita network kuwa updated (Siyo kuflush tafadhali, that is against the law). Nikafanikiwa.
Nimeacha watu wanatumbukiza simu kwa kwenda mbele. Jioni mnasort out mnachukua zenye maana, una update network!???????
Wataalamu tuelimishe tafadhali.