Wino nimefungua mkuu, pia nimejaribu kuingia youtube nione namna ya kuweka wino naona ni hivyohivyo nilivyoweka.Labda haujafungua wino
Poa Ndg. ngoja nifanye hivyo maana nilidhan ni kitu simple pengine naweza pata msaada humu.Mtafute mtaalam mkuu atalitatua tatizo lako!