Data connection problem

Hazard CFC

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
16,620
38,653
Wakuu habari za mchana..

Ninatatizo kidogo na samsung note 2,,inapandisha G na iko slow sana kwenye internet,,ni vipi naweza kufix hili tatizo ili isome H+...
Kwenye network mode ipo kwenye WCDMA/GSM
 
Mwanzoni ilikuwaje? Hapo ulipo ndipo ulipokuwa tangu mwanzo au umebadili makazi?. Je wanaotumia mtandao huo hapo wanapata 3G?
 
Hii ni mpya mkuu..na hizo configuration nimeweka manually. .hapa nilipo hauna shidaa 3g tunapata bila tatizoo
 
Watumia simu gani?
Kama android chunguza apn, netwrk mod weka auto.
 
Back
Top Bottom