Cannot generate thumbnail

juniour12

JF-Expert Member
Sep 18, 2013
407
375
Jamani wakuu, Naombeni msaada juu ya kusolve ilo tatizo litatokea pale ninapo piga picha kwa simu yangu.. Nikienda kufungua kwa gallery inaonyesha giza na huo ujumbe hapo juu.

Sasa hata picha zilizokuwa awali pia hazionekani naombeni msaada wenu maana picha zilozomo ndani ya simu ni moja ya majukumu yangu ya kikazi so kuzikosa ni kitu cha taabu kwangu.

Asante na mbarikiwe na Mungu
 
Back
Top Bottom