Msaada kwa wataalamu wa Canon Ir2420

Msaada kwa wataalamu wa Canon Ir2420

g4cool

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
431
Reaction score
211
Nimenunua aina hiyo ya photocopy ikiwa mpya mwaka jana tu, ila sasahivi ukiiwasha inalema message hii

UPDATE FIRMWARE
*BIOS MODE*
2010/10/28 VOL .01

Na haiwaki wala huwezi kufanya chochote, PLEASE kama kuna mtu mwenye kujua namna ya kuondoa hiyo nitashukuru sana
 
Mtaalamu salama??.....vipi ulipata solution ya hii ishu??
 
Jaribu kugoogle hiyo notification, yakwangu ilishawai niletea code flan nilivyogoogle nkapata maelezo shida ni nn
 
Nimenunua aina hiyo ya photocopy ikiwa mpya mwaka jana tu, ila sasahivi ukiiwasha inalema message hii

UPDATE FIRMWARE
*BIOS MODE*
2010/10/28 VOL .01

Na haiwaki wala huwezi kufanya chochote, PLEASE kama kuna mtu mwenye kujua namna ya kuondoa hiyo nitashukuru sana
Download bios software kisha uiweke kwa kupitia USB cable
 
Back
Top Bottom