Msaada wa sheria!

ab cd

Member
May 28, 2016
94
19
Kuflash cmu ni kosa kisheria lakn nashangaa kwa nn baadh ya mafundi wameandika mabango "TUNAFLASH SIMU,KUTOA LOCK N.K" Je hawa mafundi hawajui kama kufanya hvyo ni kosa? Au mm ndo cjui nn maana ya kuflash cmu!! Au niajeniaje?
 
Nchi zenye watu wenye dhamana ambao wanatanguliza matumbo yao mbele kama Tanzania badala ya kupiga kazi kuweka tangazo kama hilo ni ruksa wala hakuna mtu atakaekusumbua kwani watu wako busy kupigania matumbo yao!
 
Back
Top Bottom