iPAD 1 UPGRADE

KarySoo

New Member
Feb 10, 2015
1
0
Habari wataalam

SOry nina ipad 1, nimeapgrade hadi IOS 5.1 but now najaribu kuload app zinanataka IOS 7, nikijaribu kuapdate inasema version ya zamani haiwezi upgrade, mnanisaidiaje wataalam waa apple products

kary soo
 
Nenda google umepate maelezo ya ipad yako maana mie nimetoka kucheck ios 5 ndo mwisho huwezi upgrade tena
 
Back
Top Bottom