maringeni
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 3,198
- 3,895
Salaam wanajamvi,
Kuna dogo anatamani kusoma programming languages zitakazomwezesha kutegeneza programs zitakazoweza kutumika kwenye simu zinazotumia android na nyingenezo.
Elimu yake ni kidato cha 6 na yupo Dar.
Kama kuna private tutor au short course tafadhali tungependa sana.
Angependa kujua muda wa kujifunza basic na intermediate.