P pakinism Member Jun 22, 2016 10 0 Jun 25, 2016 #1 Ndugu naomba ambae anaweza kunisaidia nawezaje kufanya online shopping na mzigo wangu kufika nilipo salama bila tatizo ndani ya tz?
Ndugu naomba ambae anaweza kunisaidia nawezaje kufanya online shopping na mzigo wangu kufika nilipo salama bila tatizo ndani ya tz?
IamError_D JF-Expert Member Dec 21, 2011 432 92 Jun 25, 2016 #2 Pitia hapa Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni