N NyalaB Senior Member Joined Aug 4, 2015 Posts 128 Reaction score 37 Jun 26, 2016 #1 Naombeni msaada wa kupata mkanda wa Hard disk SONY VAIO VGN-SR26
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,216 Reaction score 44,182 Jun 26, 2016 #2 ina sehemu ya cd? siku zote cd na hdd zinatumia technology moja, mfano SATA. unaweza ukaua cd ukaeka Hdd maisha yakaendelea
ina sehemu ya cd? siku zote cd na hdd zinatumia technology moja, mfano SATA. unaweza ukaua cd ukaeka Hdd maisha yakaendelea