Nna Samsung galaxy s2, android version ni gingerbread so naitaji any member of this forum mwenye ujuzi wa ku-upgrade android version walau iende kwenye jellybean or above. Ntamfata alipo, na ntalipa elfu 10.
Namba zangu 0717546885
Mwenye ujuz anichek kupitia namba hizo coz Mara nyingi nakuwa cpo online.
Ahsanteni
Namba zangu 0717546885
Mwenye ujuz anichek kupitia namba hizo coz Mara nyingi nakuwa cpo online.
Ahsanteni