Habari za jion wana jf naomba mwenyekujua anisaidie nina na tatizo, mimi kuna mtu alikuwa ananidai pesa nikamtumia miezi kama 2 imepita kwa mpesa na ikanionesha imefika sasa ni. Ekutana na yule mdai anasema eti sijamtumia sasa naomba kujua kama inawezekana kupata muamala wa kutuma pesa mpesa kwa miezi 2 iliyopita. Nisaidieni jaman