Asante mtandao wa tigo

mbeyaboyfrancy

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
248
91
Asante mtandao wa tigo kwa kutuwekea university offer kwenye laini zenu za 4g hata kama sio mwanachuo sasa najiunga popote hata huku nilipo ileje songwe tanzania nakipata naomba kuwasilisha
 
Fafanua jinsi ya kujiunga na tigo university offer mkuu.
 
Yeah. Hii University offer inawasaidia hata wale ambao hawajawahi kufika chuo kujua 'What it feels like to be a University student'. :D:D
 
Hiyo menu wanaipata wale ambao laini zao zimesajiliwa kama mwanafunzi wa chuo, lakini kama laini yako haijasajiliwa hauwezi kupata hiyo menu.
 
mimi line yangu haijasajiliwa na nakipata, offer maalumu ni kwa ajili ya watu wanaowachagua tigo, vigezo na masharti ni siri yao
 
Hiyo menu wanaipata wale ambao laini zao zimesajiliwa kama mwanafunzi wa chuo, lakini kama laini yako haijasajiliwa hauwezi kupata hiyo menu.
Ndugu mimi sio mwanachuo juzi tu hapa nimesajili lain ya 4g nimeingia kwenye offer maulumu nakikuta
 
Back
Top Bottom