Je inawezekana kudownload file la MB 40 kwa saa zima kwa hii speed ya internet ya >1 Mbps?

Tetramelyz

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
4,364
12,456
upload_2016-5-17_20-32-27.png
Na je nawezaje kuongeza download speed yangu?
 
inawezekana kudownload chini ya lisaa ila ningeshauri tumua idm
 
inawezekana kudownload chini ya lisaa ila ningeshauri tumua idm
Inaweza kuongeza speed mpaka kbps ngapi kwa makadirio?
1mbs means you max download is 125kbs otherwise sio 1mbs
Kwani hujaona p hapo kwenye attached image?
Fafanua kidogo hapo kwenye max download ni 125kbs
Ndiyo inawezekana mkuu.
Kivipi?
Unadownload kutoka wapi?
Nilikuwa nadownload UcBrowser kutoka kwenye official page yao
 
Back
Top Bottom