Omary Abdallah
New Member
- Feb 21, 2013
- 2
- 0
Nnataka kununua laptop mpya lakin sijafaham sifa na ni aina gani nkachukue,, mwenye uzoefu anisaidie
Nnataka kununua laptop mpya lakin sijafaham sifa na ni aina gani nkachukue,, mwenye uzoefu anisaidie
Ukipata yenye core 2 duo au i3 i5 au i7Nnataka kununua laptop mpya lakin sijafaham sifa na ni aina gani nkachukue,, mwenye uzoefu anisaidie
Ukipata yenye core 2 duo au i3 i5 au i7
HDD 500 GB
RAM 4 GB AU ZAIDI
UKIPATA DELL AU HP ITAKUA POA SANA
Mimi sipo dar.Ni kwa chuo bro,, na kwa dar duka zuri liko pande za wapi?
Mkuu naomba unipe tofauti ya Pentium, core na celeron katika masuala ya ubora, bei, ukisasa wa version e.t.cMimi sipo dar.
Kama ni kwa chuo. Na kama bajeti yako inafika arround 700,000/- fanya juu chini uchukue si chini ya core i3 ya dell au lenovo. Na kama bajeti yako ni laki 6 au chini kidogo basi chukua Pentium ya dell au lenovo.
Hp zina bei sana kutokana na jina, Hp ya pentium inaweza kuwa na bei sawa na lenovo ya i3 nzuri.
Mkuu naomba unipe tofauti ya Pentium, core na celeron katika masuala ya ubora, bei, ukisasa wa version e.t.c
Basi akianzia zenye i3 atapata na mimi nasema tena kama wewe ulivyosema asinunue celelonAnataka mpya, so hapo kwenyw core 2 duo itakuwa shida kupata
Asante kwa ufafanuzi mkuu, mungu akubariki sana!..... Mkuu laptop za dell aina ya insperion huwa zina tatizo lolote? Kwa sababu huwa nasikia watu wanasema siyo laptop nzuri!Celeron ni cpu mahsusi kwa shughuli ndogo ndogo, internet browsing, music, movie na office applications.
Pentium ina uwezo wa kuRun zote hizo na program za kati ila haina uwezo wa hyperthreading yani kugawanya majukumu tofauti kwenye core za cpu yake.
Processor za i3 na zina sifa ya hyperthreading, na huwa ni dual core lakini inajitambua na kufanya kazi kama quadcore. Na kama umefungua program inayosapoti hyperthreading hapo ndio i3 inapotamba na hizo Core 4 zake ambazo ni virtual cores.
Mkuu laptop za dell aina ya insperion huwa zina tatizo lolote? Kwa sababu huwa nasikia watu wanasema siyo laptop nzuri!Unahitaji kwa matumizi gani?
Kama ni mwanafunzi wa chuo au college yoyote na unahitaji kwaajili ya kusomea. Angalia specs zifuatazo
.. Processor Iwe pentium au core i3 au zaidi. Ila usichukue Celeron.
..Ram 4GB au zaidi
..Harddisk 500GB inatosha
..ukubwa uwe 15.6" au ndogo kidogo,ila usichukue mini Laptop itakutesa.
..brand iwe Dell,hp,lenovo,acer,gateway etc ila usichukue Toshiba
Uko mikoan au dar?uko pande zipi.....mie nauza laptop lenovo used for one year...lakini ina program zote kwa mwanachuo na kama unapenda design+editing ina program za adobe zote na corel studio,
Mkuu laptop za dell aina ya insperion huwa zina tatizo lolote? Kwa sababu huwa nasikia watu wanasema siyo laptop nzuri!
Ni toleo gani la dell insperion ni nzuri zaidi mkuu?inspiron ni laptop nzuri kwa matumizi ya kiujumla. tatizo ni kwamba dell huwa wanatoa Toleo moja wanalisambaza kwa wingi hivyo unaweza kununua laptop na ukakuta karibu kila rafiki yako anayo kama hiyo ingawa huwa zinatofautiana model number na processor. kwa mfano inspiron 15 karibu zote zina muonekano unaofanana lakini Processor zinatofautiana, inspiron 14 hivyo hivyo , inspiron 13 hivyo pia.
hivyo kama unataka uwe tofauti unaweza kucheki Lenovo au aina nyingine laikini dell ni poa.
Ni toleo gani la dell insperion ni nzuri zaidi mkuu?
Vipi kuhusu laptop aina ya Asus, ni nzuri mkuu?Inspiron 15, 17, 17R. Ingawa kuna baadhi ya inspiron 15 za mwaka juzi zilikuwa na slot moja tu ya RAM.
Vipi kuhusu laptop aina ya Asus, ni nzuri mkuu?