Reinstall system app

KENNY JEEZY

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
271
273
HABARI
Nili-unistall phone message storage kwa bahati mbaya, sasa inasababisha simu kukatakata network kila wakati , msaada nifanye nini ili niweze kureinstall hii system application.
 
Kwanza lazima utakua ume root simu ndio ukaweza kufanya hivyo, sasa hiyo root app uninstaller uliyoitumia ina sehemu ya recycle bin, nenda hapo utaikuta hiyo app ipo hapo, ibofye itaingia ikikataa rudia tena na tena itaingia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom