Tecno c8 xpossed installer

nick waukwel

Member
Oct 30, 2014
18
6
Jaman naomben msaada jinsi ya kuweka xpossed kwenye cm yangu ya tecno c8 maana nikiweka inaonekana haiko active haifanyi chochote.
 
Umeiflash framework sdk file kwa kutumia custom recovery? Maana xposed inakuja na ma file mawili.

Unaanza kwanza kwa kuflash sdk file ya Soc yako then install hiyo xposed installer itakubali sema sijui kwa devices za Mediatek lakini hii ndio process ninayotumia mimi.
 
Please bro sijazipata fresh izo information naomba unielekeze maana mm nilizan nikudownload tu then inakubal kumbe kuna prosses zingne tena?
 
Mbona uki install tu inpga kaz... Kikubwa ni module zako tu kule basi
 
Yaan niki install inaingia lakn nikifungua nakuta maandishi mekundu yanasema ""The latest version of xpossed is currently not active""
 
Ww huja install framework hapo... Gusa hayo maandishi mekundu yanasema the latest version of xposed is currently not active kisha Install/update then una grant super su request kisha gusa ok kureboot hapo nadhan hutopata hyo error tena
 
Maybe mpaka niweke sd card? maana
Ww huja install framework hapo... Gusa hayo maandishi mekundu yanasema the latest version of xposed is currently not active kisha Install/update then una grant super su request kisha gusa ok kureboot hapo nadhan hutopata hyo error tena
Maybe mpaka niwe sdcard? Maana pale pakuinstall hapakubal wala ku tourch.
 
Jaman naomben msaada jinsi ya kuweka xpossed kwenye cm yangu ya tecno c8 maana nikiweka inaonekana haiko active haifanyi chochote.
Mkuu install recovery app like TWRP then you need to flash Xposed Installer thru recovery mode.
 
Back
Top Bottom