Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,373
- 1,190
Habari ndugu wa jukwaa letu pendwa la technology. Wadau mi nina swali ningependa kuuliza hivi kwa nini kwenye computer zetu hakunaga software kwaajili ya ku-downlod programs mbali mbali za computer kama ilivuokua kwenye simu zetu? (Android, iOs & window) mana hua napataga shida sana kwenye ku-downlod programs inakubidi uingie kwenye website husika ndo uipate au yawezekana zipo? Kama zipo software za namna hyo tujuzane waungwana!