Wakuu naombeni msaada, niliibiwa simu hivi karibuni kibaya zaidi mwizi namfahamu na picha zake ninazo tatizo ni kwamba nimejaribu kwenda polisi sijapata msaada zaidi ya kufungua faili tu.
Mbaya...
Nahitaji kujua Ku design electronic CCT kama inverter, amplifier, security system, n.k
Nahitaji miongozo, kielimu nipo chuo kikuu mwaka wa pili mechanical engineering ila napenda electronics CCT...
Habari wakuu.. nina simu aina ya Samsung Galaxy Ace 4 neo. Tatizi ninalolipata ni speed. Sielewi tatizo ni lipi hasa. Je ni RAM? SOFTWARE VERSION? au nini? Suala la software ilikuwa ipo built na...
za leo ndugu
zantel wanakupa modem mpya ina 21Mbs kama downlink na 5.7Mbs kama uplink speed bado sijaanza kuzitumia so nauliza wenye uzoefu waniambie zikoje? speed yake
pia tatizo langu ni warrat...
habari za leo wanaforum yetu pendwa, kama heading inavyosema hapo juu. hapa ofisini kwetu zimekuja computer za msaada zikitumia N computing system. awali zilikuwa zinapiga kazi fresh tu. Ila sasa...
Kifup napenda niangalie vitu vyangu vya kwenye smartphone kupitia tv screen. Kwa mfumo wa wireless naona kutumia wi fi ya tv ni bora zaid. Lakin nimeshangaa sony bravia tv yangu haina built in...
wadau niliweweka kwenye archive files zangu kadhaa na kuamua kuzifungia kabisa na password. lakini sasa najaribu kuingiza password week ya tatu hii zote zinakataa. je kuna namna gani ya kuokoa...
rejea kicha cha habari hapo juu.Akaunti yangu ya gmail haifunguki.Nijaribu kuingia wanasema ukurasa haupatikani.Cjui tatizo nn kwa anaejua. hatua za kuweza kusolve hli tatzo. nawasilisha.
Walioitumia na wanaoitumia naomba wanisaidie tafadhali TECNO L5 inakaa na chaji kwa siku ngapi kwa data ya 3G ikiwa ON while on heavy usage.
Je,TECNO L5 na L8,ipi inayokaa na chaji zaidi ya mwenziye?
nimenunua smartphone tigoshop ZTE kiss 3. line moja lazima iwe ya tigo lakini nyingine ni yoyote. tatizo upande wa line yoyote 3g haisomi. je ni kawaida kuwa hivyo kwa smartphone za tigo au...
What people might learn from the combined companies after the Microsoft deal.
Zara Kessler ZaraKessler
June 27, 2016 — 6:20 PM AST
You’re staring at a spreadsheet and you’re stumped. Waiting...
mimi natumia simu ya mchina tena mchina ambao wamejitahidi kuutengeneza unajitahid kwa kweli kupiga kazi chakushangaza toka ile siku ya TCRA ilipofika hadi leo simu yangu bado inajinwaga itajavyo...