genious wa kijiji
Senior Member
- May 1, 2014
- 173
- 249
nimenunua smartphone tigoshop ZTE kiss 3. line moja lazima iwe ya tigo lakini nyingine ni yoyote. tatizo upande wa line yoyote 3g haisomi. je ni kawaida kuwa hivyo kwa smartphone za tigo au natakiwa kufanya nini nipate huduma ya 3g!?