Wakuu heshima kwenu.
Nimenunua laptop Acer Aspire R 11 ikiwa na window 10 installed. Tatizo nimeshindwa kuunganisha internet kwa kutumia simu yangu (hotspot) lakini nikiunga kwa wireless...
Habari wakuu.
1. nina Samsung galaxy Trend Lite nikipigiwa simu naambiwa sipatikani na wakati mwingine napatikana. issue ikoje hapo
2. hii hii simu nikiingia internet muda fulani ina disconnected...
Kwa taarifa nilizo zipata jana kutoka blog ya
Maswayetu blogger ni kwamba kwa mhitimu yoyote ili aombe mkopo inapaswa awe na ufaulu wa GPA YA 3.5 kwa o`diploma je kweli wadau wa elimu ya juu kwa...
Msaada laptop yangu sina ya dell inazingua kidogo kwenye net ipo slow na music ina play tatizo lipo kwenye video iwe video ya YouTube au ambayo saved kwenye computer ikiplay baada ya dakika 3 tu...
Habarini!!!!
Am on the way to mombasa sina budi kulala ARUSHA ndo safari iendelee!!!!
tumefika jioni hii ila ilipofika mda wa kuangalia taarifa ya habari walipo washa TV chanel zikawa empty kumbe...
Mimi ni freelancer nauza line line za simu sana ila wateja wangu wengi wanapenda mtandao wa VODACOM.
Huwa wanashindwa kunielewa pale wanapohitaji huduma ya SIM SWAP na hapa ni kijijini inakosa...
Wadau naomba kujua kuna uwezekano wa kuangalia TV bila king'amuzi kwa channels zote (azam TV, continental TV ,zuku TV n star times TV n TV za nje ) kwa kutumia flat screen TV ,
Kama kweli utumika...
Niaje Wakuu niende moja kwa moja kwenye point
Kuna Spread sheet nataka kutengeneza ambayo inakuwa na Expenses, Derbit, Credit na Cash Flow kwenye Bank Acc mfano nimenunua sukari 200tsh hii...
Believe it or not, even today, it’s possible to make a website TODAY, that will someday compete with Facebook, YouTube, etc.
As you have probably have heard multiple times, there is no secret...
Heshima kwenu wakuu ! Kwa anayejua jinsi ya kufanya partion kwnye drives za computer naomba msaada
ni kwamba pc yangu ina memory kubwa sn kweny drive D' wakati drive C' ina kiasi kidogo...
Simu yangu ni samsung gallaxy SIII Mini version 4.2.2 nataka kwenda ktk version ya juu zaidi naombeni msaada wenu wa hali na mali.....
Simu nmeshai-root kwa #kingroot na imekuwa verified kwa...
Hbr nimebonyeza button za kuswitch lakini inasema, broken wire/ wire plug out, je kuna kitu chochote cha kuchomeka ili wireless yangu ifanye kazi. Na tumia ACER INSPIRE 4333.
mwenye msaada...
Wakuu naombeni msaada,
Nina Television yangu Sumsung flat screen in in usb port ila sasa nikiweka flash disk ikiwa na mvoies hazionekani kabisa lakin ikiwa na nyimbo audio zinaplay bila matatzo...