Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

hi wanajamvi yani simu ina memory storage kubwa lakn nikidownload app kutoka play store inakataa inaniambia view memory storage....kuna tatizo gan labda wakuu?
1 Reactions
9 Replies
938 Views
Huu mtandao nadhani hawajielewi. Ni kawaida sana kukuta mtandao umekata bila taarifa yoyote. Nimekuwa nina experience mbaya nikiwa Dar, Mbeya na Arusha. Leo nimekuja Mbeya, hakuna network...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Tecno j7 ina virus wengi. Nimejaribu kuwaondoa kwa kutumia apps ya 360 security lakini bado vipo. Nikifungua browser kwa mfano mozila au opera mini inanuambia you have 4 virus... Au kama hivi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari!wakuu naomaba msaada jinsi ya kunlock moderm ya zte k3772z iweze zama lainia zote.nawasilisha
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu naomba mnisaidia, nikifungua mtandao wowote,hata facebook etc picha na hata maneno yanaonekana kama yamevutwa na hayaonekani kabisa. Ninatumia komputer, sijajua ka ni virusi au ni nini...
0 Reactions
2 Replies
974 Views
wakuu hvi microphone zina range bei gani nataka ndogo tu ya kutumia wakati wa sherehe
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu nawezaje kudownload media za ustream kwa simu online?
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Wakuu kwanza poleni na majukumu ya kujenga taifa lenye viwanda. nianomba mwenye link nzuri ya window activator yoyote anisaidie hasa kama una KMSAOUT LITE nimesumbuka kutafuta namna ya kui...
0 Reactions
23 Replies
47K Views
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepiga marufuku uingizaji na usambazaji wa simu za mkononi za Smartphone Samsung Galaxy note 7 kwa kuwa zina matatizo ya betri. TCRA pia imewataka wananchi...
0 Reactions
2 Replies
788 Views
Wakuu naomba msaada kujua wapi naweza kupata battery ya Dell e latitude 6430.Dell 97Wh extended rechargeable Li-ion Battery
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Habarin wakuu..Ni app gan yakuapload picha whatsapp bila ku crop, ambayo haita igawanya picha maratatu mfano;
0 Reactions
5 Replies
921 Views
Habari zenu.naomba kuelekezwa namna ya ku unlock hii simu kwa anayefahamu
1 Reactions
3 Replies
991 Views
App za kwenye simu huwa nzuri na hupendwa na watu kama ukipata wazo zuri la kuweka katika hiyonapp. Sasabasi mimi nimepata wazo na kwa mujibu wa mawazo yangu na watu wangu wa karibu...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
app
Naomb Masada jaman anaejua kutimia app ya snartube kudownload videp pm YouTube
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Nilinunua friji yangu aina ya candy kubwa mtumba nikaiwasha kwa 3 month bila tatizo shida niliyoiona ni thermostat ilikuwa hijizimi na kuwaka kama nyngn, tatizo limejitokeza baada ya kuizima...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuuu na wataalam humu ndani poleni na majukumu....jamani nisaidieni,haka ka simu kangu nimekaflashi mwenyewe lakini touch screen haifanyi kazi vizuri,yani uki touch sehemu unapohitaji yenyewe...
0 Reactions
3 Replies
737 Views
Salaam wadau, Sasa bana, kuna mtu nataka nimuaibishe kwa uongo na uzushi wake. Hivyo ninahitaji msaada kidogo. Msaada wenyewe ni jinsi ya ku recover baadhi ya picha nilizopiga na simu yangu...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari za Leo wana JF Naomba msaada wa kiufundi wa king,amzi cha startimes Asubuhi kilikuwa kinaonesha Muda huu hakioneshi Kimeandika MANENO haya Attention E07:channel list emply...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mwongozo huu ni jinsi ya kuondoa matangazo kwenye app. vilevile unajumlisha kutumia inapp purchases bure, kuondoa google license na kuzuia app kutumia internet background kwa zile app unazohisi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Morning wadau, natafuta Ic ya sound ya Lenovo. Ic number CX20752 , nipo Arusha
0 Reactions
2 Replies
910 Views
Back
Top Bottom