isley
Member
- Sep 24, 2016
- 48
- 83
Nilinunua friji yangu aina ya candy kubwa mtumba nikaiwasha kwa 3 month bila tatizo shida niliyoiona ni thermostat ilikuwa hijizimi na kuwaka kama nyngn, tatizo limejitokeza baada ya kuizima ikapoteza gesi fundi kaja kaweka system yake ya paip ndan uwezo ndio ukapungua kwenye kugandisha na ukiizima inapoteza gesi, nimemtumia fund huyo three tyms bila mafanikio. Je naweza kurudisha kama awali kwa kutumia fund mwngn? Na kama ni leakage je kuna mafundi? Au nisitengeneze tena.