Naitaji ku live stream local channel kama AZAM TV 2 na HD pia ku live stream channel zingine mfano zilipo MOBDRO kwa kutumia ANDROID ,Mimi nataka kutumia PC nifanyeje?
Leo kuna mtu kanitumia kanitumia msg zangu za whatsapp:(:(:(:( . Kanituma link hii ya application hii https://goo.gl/c6Oaox aliotumia,sasa nimejaribu masaa 4 sasa bila mafanikio.Anaeweza itumia...
Msaada wetu wadau jana katika kutumia simu yangu nimekutana na kitu kikanishtua sana. Kwenye email set up nilikuwa najaribu kuupdate kwenye computer sasa kilichotokea ni pale nilipoona Google...
Habari
Ndugu wataalam wa ku design templates za blogger na hitaji tufanye kazi hapa kwa mtu anaeweza kufanya kazi hii.
nimeipenda template hapa na nina penda niweze kuitumia katika blog yangu...
Wakuu naamin mnaweza kunisaidia natumia simu ya Samsam J1 ila kuanzia jana kuna tatzo limetokea niktuma msg watsup haziend wala kupokea sms watsup pia upande wa Opera min haifunguki kabisa...
Bye bye whatzupp ?!
Now introducin new app called TELEGRAM with highspeed msg delivering capable to send files up to 1GB, nd also it features to share Word nd powerpoint files... group capacity...
Simu inasumbua chaji sasa sijui niweke betri ingine ama vipi? Yani nachaji usku mzima inajaa lakini ku browrse hata nusu saa haifiki limeisha daaah naikumbuka i phone5s yangu niliyoiuza ..wadau...
Computer & Mobiles Technicial Solutions
COMPUTER UPGRADE, REPAIR AND SOFTWARE INSTALLATION (MAC&WINDOWS)e.g
Installing
Windows XP, Windows 7, Windows 8, Windows 8.1 and Windows 10(Pro, Home...
Serikali ya Marekani kupitia idara ya usafirishaji [Department of Trapotation {DOT}]
Ikishirikiana Federal Aviation Administration (FAA) imepiga marufuku kwa simu za Galaxy Note 7 zitakua siyo...
Habari rafiki , naamini umzima afya na unaendelea na harakati za kuboresha maisha yako. Karibu tena katika makala hii.
Kila siku ndege zinazidi kuongezwa ukubwa kulingana na mahitaji ya binadamu...
Habari wanateknolojia, kama tujuavyo uwepo wa hub na innovation centers katika nchi au sehemu huchangia kwa kiasi kikubwa kusukuma kasi ya ugunduzi na uongezaji ufanisi wa vifaa na mifumo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.