Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Imeeleza kuwa sim hizo zinatatizo katika mfumo wa injini zake ambalo hisababisha kulipuka au kuungua wakati mwingine kusababisha madhara makubwa kwa watumiaji wake. Kazi kwenu watumiaji wa Note7...
1 Reactions
10 Replies
920 Views
wakuu habari zenu.... jamani mi nna shida kama kuna mtu mwenye registration code ya data recovery ya wondershare anisaidie au kama kuna msaada mwengine wowote kuhusu data recovery naomba nipewe mi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Natumia line ya Zantel sasan najiuliza waliona ugumu gani kuweka hiyi sim card? imeandikwa cdma. Huko cdma kuna kitu gani kipya sana wasiweke line? Hizo simu za cdma ndo zikoje wakuu? inamaana...
0 Reactions
2 Replies
805 Views
Wapi naweza ku download ngoma za mbele au hata za kibongo zenye album art ....nilizoea itemvn.com sasa naona imefungiwa....iliyopo so kama ile ya zaman
0 Reactions
0 Replies
950 Views
*Jaman ndg zng Kuna dogo kapangiwa singida medical laboratory assistant school lkn hajapata details zozote anisaidie maan online hakun*please msaada wenu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
11 October 2016 Samsung imetoa wito kwa watu wenye simu aina ya Galaxy Note 7 kuzizima mara moja huku ikifanya uchunguzi kubaini ni kwa nini simu hizo, hata zile ambazo kampuni hiyo ilikuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini jukwaani, Kabla sijaenda kwenye tatizo naomba kukiri kwamba Mimi ni mshamba wa Apple devices..Ila ukali wangu wote ni kwenye device zitumiazo Android OS. Kwa kama mwezi Sasa natumia...
0 Reactions
7 Replies
948 Views
Jamani kama kuna mtu kapata link ya kudownload latest version ya GBWHATSAPP (4.91) naomba aweke hapa kuna link wametoa ila inakataa http://www.gbmods.co/?p=19 Msaada kwa aliyepata link nzuri...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Vp wakuu nahitaji Ku unlock cmu yangu ya Vodafone v685.Naomba Msaada.
1 Reactions
0 Replies
553 Views
Naombeni mwenye uelewa na hili anijuze, ni namna gani naweza weka link ya folder kwenye html, ili mtu akibofya hiyo link then ifunguke na kudownload files za pdf zilizopo ndani ya hiyo folder...
0 Reactions
3 Replies
605 Views
wadau salaam, nina simu hapa ni Huawei Y300 imepatwa na hilo tukio la kujiwasha data hata pale ninapoi disable. Naombeni suluhisho kwani chaji imekua ni tatizo sasa. Asanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wataalam ntawezaje kudownload episode full ktk cm.maana nazidownload lkn haziplay. msaada wenu wataalam
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wana Jamvi kwa wale wapendao sinema nimeona bora ni-share hii App na nyinyi ili mpate kuburudika "Popcorn-time" ni app ambayo unaweza kuona movie zote za Hollwood na za Kihndi na nyenginezo bure...
1 Reactions
16 Replies
18K Views
naomba mnielekeze step by step namna ya kuitumia bitTorrent au movie torrent...zote nimeshazidownload pamoja na java ila ndo hivyo nashindwa uzitumia
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Yap...kama kichwa kinavyo jieleza kuna mobile games meng sana lakn toka nicheze movie mobile games bado sijaona game zuri kama vampire romance liko tofauti sana na mengne uliocheza ww jaribu...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
wakuu naomba mnipe link ya kudownload movies kali latiest
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Me kabla cjaanza kutumia tecno p3,nilikuwa nnatumia samsung c5212 nilikuwa nnadownload movie nyingi tu,lakini hii tecno kila nikitaka kudownload naambiwa niweke download manager nikijaribu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
khabari zenu waugwana! Nisaidieni natuma utorrent
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wandugu mimi ninashida na kudownload hii movie ya kikorea IRIS ss cjui nitumie program ipi maana kwenye torrent cjaziona! Please!!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom