Msaada wapi naweza kupata battery ya Dell latitude

Msaada wapi naweza kupata battery ya Dell latitude

mchumia tumbo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
1,459
Reaction score
476
Wakuu naomba msaada kujua wapi naweza kupata battery ya Dell e latitude 6430.Dell 97Wh extended rechargeable Li-ion Battery
 
Kama upo Dar es salaam
Nenda kariakoo mtaa wa uhuru na kongo kuna maduka mengi ya computer wanauza
 
Back
Top Bottom