Msaada Tafadhali Website hazifunguki

Msaada Tafadhali Website hazifunguki

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,830
Reaction score
12,314
Wakuu naomba mnisaidia, nikifungua mtandao wowote,hata facebook etc picha na hata maneno yanaonekana kama yamevutwa na hayaonekani kabisa.
Ninatumia komputer, sijajua ka ni virusi au ni nini.

Ninaambatisha hizi attachment ili mnielewe.

cc @chief_mkwawa Blank.JPG Blank1.JPG Blank3.JPG Blank2.JPG Blank.JPG Blank1.JPG Blank3.JPG Blank2.JPG
 
Tumia web browser nyingine, kama tatizo linaendelea litakuwa loose connections au screen yenyewe
 
mkuu !hii ni kwenye browser pekee au at nnje kwakua navoona hizo picha tatizo sio connection ni interface unapata katika baadhi ya picha zako kunamuungiliano wa rangi!ingekuwa vizuri ungetoa full information
 
Back
Top Bottom