1. stethoscope
2. BP machine
3. themometer
4. patella hummer
Hivyo vifaa inatakiwa niende navyo chuo maana vime ambatanishwa katika form, sasa sijajua vinauzwa sh. ngapi pia vinakopatikana...
Heshima zenu wakuu komputa yangu na simu yangu imevamiwa na kirusi cha ajabu nikichomeka memory card mafaili yote yanageuzwa na kuwa ma folder mengi zaidi ya mia yenye jina la...
Mi naomba msaada wa kutoa Matangazo kwenye app niliyo install kwenye simu yangu natumia tecno c9 yaani mfano nimedownload AVG AntiVirus basi unakuta kunapicha za video wadada wanchezea simu...
Baada ya kickass kufungiwa nini imekuwa mbadala wake ...mimi ni kama naumwa week ya pili sasa sina hamu ya kitu chochote. na kazini nako nimeom ruhusa maana sina hata raha ya kufanya kazi baada ya...
Wakuu ilikua mwaka Jana mwezi December ndipo nilijiunga na Halotel na kuanza kutumia Huduma ya internet yenye kasi kubwa lakini baada ya takriban miezi 11 sasa nimeona iko slow kwa Mimi ambaye...
Husika na kichwa cha habari hapo juu...wandugu nataka kufuta fb account ....vp mwaweza nisaidia njia gani za kufuata ili kufuta...fb account ili mradi isionekane kweny ulimwengu wa...
Habari zenu wakuu,
Nahitaji msaada wenu juu ya simu iyo tajwa hapo juu, imeanza tatizo la kujizima na kujiwasha pindi ninapotaka kupokea simu iliyopigwa, na pia wakati flani namba zinajionyesha...
Naomba mnisaidie.. nina modem ya Huawei inatumia tigo 173u-1 sasa nimejalibu ku unlock imekataa.. basi naomba mnisaidie kama kuna app katika PC inaweza kuditect modem kutumia line tofauti wakati...
Za asubuhi, leo nmeanza siku vibaya,
Nmekosea Kutuma Meseji na nmetuma Meseji na picha (nikiwa na mchepuko) kwa mke wangu, Meseji haijawa delivered na wife yupo safarini.
Mwenye ushauri wa...
Wahenga wanasema haraka haraka haina baraka Kampuni ambayo inaongoza kwa kutoa matoleo mengi kwa muda mmoja ikifuatiwa na Techno Leo imesitisha Rasmi utengenezaji wa Samsung Galaxy Note 7 na Seven...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.