Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,086
- 143,296
Salaam wadau,
Sasa bana, kuna mtu nataka nimuaibishe kwa uongo na uzushi wake.
Hivyo ninahitaji msaada kidogo. Msaada wenyewe ni jinsi ya ku recover baadhi ya picha nilizopiga na simu yangu lakini ambazo nilizifuta.
Najua inawezekana. Na naweza kwenda kwa wataalamu wakanifanyia mambo ila nataka nijaribu kufanya mwenyewe kwanza.
Simu yenyewe ni Samsung S7 edge, unlocked, international version.
Je, ni software gani nitumie? Au ni njia gani ingine zaidi ya 'restore data' ambayo naweza kuitumia?
Natanguliza shukran jazilan nyingi kwa msaada wenu.
Cc; Valentina