Simu yangu Tecno J7 ina virus. Nashindwa kuwaondoa. Msaada tafadhali

Simu yangu Tecno J7 ina virus. Nashindwa kuwaondoa. Msaada tafadhali

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,442
Reaction score
17,925
Tecno j7 ina virus wengi. Nimejaribu kuwaondoa kwa kutumia apps ya 360 security lakini bado vipo. Nikifungua browser kwa mfano mozila au opera mini inanuambia you have 4 virus...
Au kama hivi

Msaaada wadau.
Cc. CHIEF MKWAWA, senetor jr
 

Attachments

  • IMG-20160819-WA0001.jpeg
    IMG-20160819-WA0001.jpeg
    56.8 KB · Views: 105
Tecno j7 ina virus wengi. Nimejaribu kuwaondoa kwa kutumia apps ya 360 security lakini bado vipo. Nikifungua browser kwa mfano mozila au opera mini inanuambia you have 4 virus...
Au kama hivi

Msaaada wadau.
Cc. CHIEF MKWAWA, senetor jr
Nimefuata hizo prosses hapo kwenye sreen shot lakini bado havitoki
 
Download antivirus za kulipia acha kutumia free antivirus. Mimi natumia Avg antivirus nina miezi 7 sijaformat cm yangu na bado inapafom vzr..
 
ukiona browser inakutumia hiyo meseji ukiwa unaperuzi hiyo inakuwa ni 'false alarm'....yaani ni meseji ya uongo ambayo ukifungua kuna posibilty kubwa kuwa sim yako itakuwa infected........kama sim yako haijakionyesha dalili yeyote ya kuleta shida ni kwanini uhisi ina virus kama sio kihelehele tu.....shauri yako
 
Tecno j7 ina virus wengi. Nimejaribu kuwaondoa kwa kutumia apps ya 360 security lakini bado vipo. Nikifungua browser kwa mfano mozila au opera mini inanuambia you have 4 virus...
Au kama hivi

Msaaada wadau.
Cc. CHIEF MKWAWA, senetor jr
Umejuaje kam ina virus? Hyo screenshot yako ni adds tu hyo ulivyo fungua browser yako... Na wala usije kufuata maelezo ya kweny screenshot hapo
 
Hayo ni matangazo bro.. install adblocker yoyote hutayaona tena.
Ukiweza..root iyo simu (sio lazima).. then install adaway..
*yanakera sana*[emoji48]
And btw, kwene android hakunaga viruses. Instead tuna malwares na ambazo zinakuja kwa install apps zisizosalama. (Hutumiwa na hackers kuiba info kwene simu yako)
 
Tecno j7 ina virus wengi. Nimejaribu kuwaondoa kwa kutumia apps ya 360 security lakini bado vipo. Nikifungua browser kwa mfano mozila au opera mini inanuambia you have 4 virus...
Au kama hivi

Msaaada wadau.
inawezekana pls call me 0713425729 kifua
 
kama walivyosema wadau hapo juu hayo ni matangazo sio virusi. kuna matangazo ya aina mbili
-matangazo yanayokuja ukifungua browser
-matangazo yanayokuja popote pale, ukipiga simu, ukituma msg, ukiangalia na kusikiliza etc

hayo yanayokuja popote ndio virusi,

eka opera mpya ina adblocker au kama tayari una opera mpya nenda setting kaeke adblocker on hayatakuja tena
 
Nawashukuru wadau wooote kwa ushauri ingawa nilichelewa kuja hapa kutoa shukrani.
Shukrani
 
Download antivirus za kulipia acha kutumia free antivirus. Mimi natumia Avg antivirus nina miezi 7 sijaformat cm yangu na bado inapafom vzr..
Hv hzi za kulipia unailipiaje nisaidie maelekezo,maana hua napata hofu ya kuibiwa noti kwenye account yangu
 
ukiona browser inakutumia hiyo meseji ukiwa unaperuzi hiyo inakuwa ni 'false alarm'....yaani ni meseji ya uongo ambayo ukifungua kuna posibilty kubwa kuwa sim yako itakuwa infected........kama sim yako haijakionyesha dalili yeyote ya kuleta shida ni kwanini uhisi ina virus kama sio kihelehele tu.....shauri yako
Kweli kabisa Mkuu.
Meseji kama hiyo huwa ni tangazo ili udawnload app ya waliokutumia hiyo meseji.
Mi' mwenyewe nilitumiwa meseji kama hiyo nikaanza kupagawa,lakini cha ajabu simu yangu haikuonyesha mabadiliko yoyote ya kuwa slow,ilikuja kupotea hiyo meseji baada ya kui-factory reset.
Dawa ni ku-factory reset tu.
 
hio ni ad tu wala sio virus, tumia google chrome browser hutapata message ya kipuuzi hio
 
Back
Top Bottom