MSAADA KUHUSU WINDOW ACTIVATOR

MSAADA KUHUSU WINDOW ACTIVATOR

Cendy

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
1,252
Reaction score
2,314
Wakuu kwanza poleni na majukumu ya kujenga taifa lenye viwanda. nianomba mwenye link nzuri ya window activator yoyote anisaidie hasa kama una KMSAOUT LITE nimesumbuka kutafuta namna ya kui download nimeshindwa nitashukuru kwa msaada wenu
 
ya windows ipi.. xp,7,8,10
 
kabla ya kuhangaika na crack hakikisha kama pc yako ina key za win 7 au 8 ibinue kwa chini laptop au pembeni desktop hakuna sticker za windows au key?
 
kuna link nyingi najaribu kuitafuta nashindwa
ndio hivyo mkuu kwa sasa kwenye mitandaoni kuna wajanja wengi wanaweka fake links, pia hawaruhusu kuweka hizi cracked software, na hacking details mtandaoni(asilimia kubwa ya server nyingi), hata mimi nilishatengeneza website maalum kwa software za ku-crack, na mambo ya hacking, account yangu ya google(gmail account) ilifungwa(disabled) nilipoteza vitu vingi i.e emails, youtube account, adsense account etc
 
kabla ya kuhangaika na crack hakikisha kama pc yako ina key za win 7 au 8 ibinue kwa chini laptop au pembeni desktop hakuna sticker za windows au key?
Mkuu chief nina laptop hapa nimeeka window 8.1 but naona inasumbua Sana.... Nikiangalia kwenye sticker naona ilikuwa na window vista

Je window vista inapatkana au niweke window gan usinisumbue .

Specifications zake ni
HDD 250GB
RAM 2GB
PROCESSOR 2.4 GHz
 
inasumbua nini?
 
Back
Top Bottom