view memory storage

view memory storage

charleslee

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2016
Posts
408
Reaction score
201
hi wanajamvi

yani simu ina memory storage kubwa lakn nikidownload app kutoka play store inakataa inaniambia view memory storage....kuna tatizo gan labda wakuu?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Alipokuuliza hdd alimaanisha Hard Disk Drive ( I think)

Kuhusu ishu yako ni hivi;
Ingawa simu inakua na nafasi kubwa lakini kunakua na nafasi kwa ajili ya media (yaani miziki, picha na video), kunakua na nafasi kwa ajili ya apps na shughuli zingine.

Inapotokea nafasi ya apps ikajaa ndiyo utakuta ukiangalia unaona free space ili ukidownload inakwambia hivyo.

Solution ninayoiona tumia memory card, yaani audio, video na picha zote uwe unahifadhi kwenye memory, hii itasaidia hilo suala.
 
thanks boss
 
Back
Top Bottom