UNLOCK ZTE K3772-Z

hero7

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
216
69
Habari!wakuu naomaba msaada jinsi ya kunlock moderm ya zte k3772z iweze zama lainia zote.nawasilisha
 
kwanza download metfone dashboard (search google)

Halafu idownload DC Crap, then ....... enjoy!!
 
dc crap aikubali unaweza nipa version unayotumia mkuu na then dashboard mtihani
 
search humu jf kuna member aliiweka cracked dc crap, au search google , najaribu kuiupload yangu hapa, but net too slow
 
Habari!wakuu naomaba msaada jinsi ya kunlock moderm ya zte k3772z iweze zama lainia zote.nawasilisha
DC unlocker wana Unlock kwa 8$

Usisahau ku sniff AT command(s) inayotumika ili tupate trick hapa JF!

Vinginevyo hiyo ni ndo ya ki Kristo
 
DC unlocker wana Unlock kwa 8$

Usisahau ku sniff AT command(s) inayotumika ili tupate trick hapa JF!

Vinginevyo hiyo ni ndo ya ki Kristo

Sasa ile ya Kiislam mimi ndo naitaka zaidi, ilikuwepo humu, nadhani ni wewe ulii...., basi sawa!!
 
DC unlocker wana Unlock kwa 8$

Usisahau ku sniff AT command(s) inayotumika ili tupate trick hapa JF!

Vinginevyo hiyo ni ndo ya ki Kristo
ok ila ilo nenbo la mwisho sijaelewa mkuu(vinginenvyo ndo ya kikristo)
 
ok ila ilo nenbo la mwisho sijaelewa mkuu(vinginenvyo ndo ya kikristo)
ndoa ya Kikristo wanaitaga wadau
Kwamba hiyo lazima Ubaki na mtandao mmoja huo huo Vodacom!

Ila DC unlocker wanatoa Lock nimefanya hivo ila bei yake ndo pasua kichwa na bei ulonunulia ukaongeza ya Ku unlock yaani ni balaa tupu
 
NI mtihani ni kama Tsh.17000 na kitu hivi!
 
Back
Top Bottom