Wataalam msaada Pls SAMSUNG Galaxy trend GT-S7562i touch screen..

Wataalam msaada Pls SAMSUNG Galaxy trend GT-S7562i touch screen..

Tsidikeu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2012
Posts
1,312
Reaction score
890
Wakuuu na wataalam humu ndani poleni na majukumu....jamani nisaidieni,haka ka simu kangu nimekaflashi mwenyewe lakini touch screen haifanyi kazi vizuri,yani uki touch sehemu unapohitaji yenyewe inatouch kwingine kabisa,msaada pls Wakuu.
 
Haijapasuka touch? Au imeingia maji nahisi. Hayo mambo yalishawahi kunisababishia hilo tatizo
 
Haijapasuka touch? Au imeingia maji nahisi. Hayo mambo yalishawahi kunisababishia hilo tatizo
Hapana mkuu...ilikuwa vizuri tu kabla ya kuiflash sa sijui nini hiki....!
 
Back
Top Bottom