tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,420
- 4,763
Huu mtandao nadhani hawajielewi. Ni kawaida sana kukuta mtandao umekata bila taarifa yoyote. Nimekuwa nina experience mbaya nikiwa Dar, Mbeya na Arusha. Leo nimekuja Mbeya, hakuna network. Natamani nitupe MiFi yao.
Jirekebisheni!!!
Jirekebisheni!!!