Msaada ndugu zangu simu yangu galaxy note 4 model Sm-N910A imekata network mtandao hausomi lakini internet naweza kutumia.
Kwa awali iligoma kussuport line ya voda nikiweka inaandika phone not...
Ni #BusinessUnusual DStv, tumepunguza gharama za vifurushi!
Gharama mpya kuanzia LEO! tarehe 1 Novemba 2016 ni:
Premium Kutoka sh.219,000 - 184,000
Compact Plus Kutoka: sh.147,000 - 122,500...
Habari wana Jukwaaa.
Nina HTC desire 320.
Inashindwa kuwaka mpaka kufikia mwisho. Inachofanya ni kuwaka mpaka kwenye HTC logo kisha ku restart tena haiendelei zaidi ya hapo.
Uki connect kwenye...
Naomba kujua jinsi ya kufanya live streaming kwenye facebook, nilipata maelekezo youtube lakini bado nikashindwa au labda inatokana na aina ya simu ninayotumia
Kama umepoteza simu yako au kuibiwa una weza kuipata kwa njia ifuatayo.
Awali ya yote tukumbuke kwamba kila simu ina namba yake ya utambulisho yaani IMEI namba na ili kuipata/ kuitambua hiyo namba...
kama una tatizo la software na programe yeyote kwenye computer kwa wilaya ya kasulu (kigoma) tutafutane nitakuwekea kwa bei ndogo kwa mawasiliano namba zangu ni na nyingine ni
Napatikana...
Wadau kuna simu nimeibiwa katika mazingira ya kutatanisha sana, na kwa bahati mbaya siijui IMEI no yake ila mara ya mwisho nilikua naitumia kwa laini ya Halotel
Aliyeiiba kaiba pamoja na laptop...
Wakuu nahitaji setup ya software yoyote inayofaa kudesign electronics circuit na kufanya analysis ni email hio setup. au weka apa Danmarconi55@gmail.com Asanteni
Nina PC ya Toshiba jamani n muda sasa nikiwa naitumia inazima display ghafura kidogo ina washa tena imekua nzito video Ku play zinagoma goma sauti ina kwaluza sijui nini tatizo na nifanyeje?
Wakuu mimi nina jicho na mkono wa kuchora chora kwenye paper.
Natamani kugamia digitali tafadhali anayejua program nzuri za kufanyia sketching na animatio anipe
Sijui jinsi ya ku upload...
Poleni na majukumu ya weekend wadau wa jukwaa hili muhimu.
Kuna movie nimedownload kutoka "Piratetorrent.net" inaitwa "13 hours The secret Soldiers of Benghazi", shida ni kwamba iko cmpresed kwa...
Habar zenu wakuu,
Naomba msaada wakulock dvd cd, ili kusiwe na uwezekano wa mtu yeyote kuweza kukopy khaz iliyopo ndani zaidi ya aliye tengeneza,
Nawasilisha.
Ndugu wana jf pc yangu aina ya Toshiba inatumia Windows xp baada kuapdate local disk G imeshindwa kutoa sauti wala kuonesha network naomba msaada wa namna ya kuweka drive na namna ya kuipata or...
Habari zenu wakuu!
Mwenye uelewa wa app ambayo inaweza change font style kwenye Samsung phones tofauti na ifont kwani mi ni moja ya wahanga wa font nzuri ila natumia za ifont naona nimezichoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.