injinia mganga
Member
- Oct 13, 2016
- 94
- 21
Ndugu wana jf pc yangu aina ya Toshiba inatumia Windows xp baada kuapdate local disk G imeshindwa kutoa sauti wala kuonesha network naomba msaada wa namna ya kuweka drive na namna ya kuipata or solution of problems asate