Kama unatumia superSu, lock app zote zenye root permission
hivyo app ikiomba permission weka pin
Weka access timeout (select ndogo kabisa ie 1min)
.Pia enable login, hii itakuonyesha commands app inazotumia, mfano hapa app ninayotumia toa screenshot inatumia command inayoitwa screencap. Command hii haina madhara kwa simu
Ukigundua app yenye root permission inatumia command ambayo una wasiwas nayo,ifute app hiyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.